Matangazo ya Usharika tarehe 24 Novemba 2024

MATANGAZO YA USHARIKA  

TAREHE 24 NOVEMBA, 2024

SIKU YA BWANA YA MWISHO KABLA YA MAJILIO

NENO LINALOTUONGOZA NI

BAADA YA MAISHA HAYA UZIMA WA MILELE

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Hakuna Wageni waliotufikia kwa cheti. 

3. Matoleo ya Tarehe 17/11/2024

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT

Matangazo ya Usharika tarehe 17 Novemba 2024

MATANGAZO YA USHARIKA  

TAREHE 17 NOVEMBA, 2024

SIKU YA BWANA YA 2 KABLA YA MAJILIO

NENO LINALOTUONGOZA NI

JIANDAE KWA HUKUMU YA MWISHO

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli. 

2. Wageni: Wageni Waliotufikia kwa cheti ni Maxwell S. Ng’walida na Makk S. Ng’walida toka Usharika wa Kanisa Kuu Imani KKKT Dayosisi ya Mashariki ya ziwa Victoria Mwanza, Wamekuja masomoni. 

3. Matoleo ya Tarehe 10/11/2024