Matangazo ya Usharika tarehe 31 Agosti 2025
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI
MATANGAZO YA USHARIKA
LEO TAREHE 31 AGOSTI, 2025
SIKU YA BWANA YA 11 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA NI
MUNGU HUWAPINGA WENYE KIBURI
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 24/08/2025
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT