Ibada ya Morning Glory inakuwepo saa 12:00 hadi saa 1:00 asubuhi, siku za kazi.

Group Articles

Tunaposema kusifu na kuabudu tunamaanisha tunamtukuza mungu kwa njimbo na mapambio, kusifu ni aina fulani ya uimbaji ambayo inasikika au kujulikana kwa jinsi nyimbo zilivyo yaani kuimba kwa unyenyekevu na kwa utulivu.