Jarida la Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Toleo la 15 (Januari - Machi 2024) sasa lipo tayari. Pata nakala yako kupitia link hapa chini.

Hii hapa ni Ratiba ya Ibada za Pasaka 2024 zitakazofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.

Jarida la Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Toleo la 14 sasa lipo tayari. Pata nakala yako kupitia link hapa chini.

Siku ya Jumapili tarehe 21 Januari 2024, Washarika wa Kanisa Kuu Azania Front waliungana na na jumuiya ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania

Siku ya Jumapili, tarehe 22/10/2023, KKKT -DMP Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral ulifanya maadhimisho ya kilele cha sikukuu ya mavuno y

Kamati ya Afya na Ustawi wa jamii inapenda kuwatangazia kuwa mafundisho ya afya kwa Wanafunzi wa Kipaimara kwa mwaka wa Kwanza na wa Pili yatafanyi

“Tuwalee Watoto Katika Njia Ya Bwana," hayo ni maneno ya kutoka katika Biblia yaliyotumika katika mahubiri yaliyofanyika katika ibada ya Sikukuu ya

Our delegation in Frondenberg & Bauhasen congregations in Germany.

Pages