Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, limeandaa utaratibu wa wanawake kuongoza ibada mara moja kwa mwaka, ibada hizi kwa kawaida hufanyika kati

Wanawake wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral hivi karibuni walihudhuria semina ya kiroho na kiuchumi.

Wanawake wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral mnamo tarehe 19/3/2022 walikutana usharikani kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Umoja huo kwa m

Siku ya Jumapili tarehe 10 Julai 2022 ilikuwa ni Siku ya Vijana katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral, siku ambayo huadhimishwa kila

Wanakwaya wa Kwaya ya Agape ya Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral ambayo huimba katika ibada ya kwanza (saa moja asubuhi) siku za Jumapi

Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azania Front Cathedral umejumuika na wakristo wote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Pasaka ya mwaka 2022.

Hii hapa ni ratiba ya matukio na Ibada zote kuelekea Sikukuu ya Pasaka ya mwaka huu wa 2022.

Siku ya Jumamosi tarehe 2 Aprili 2022 imefanyika ibada ya wazee katika Usharika wa Kanisa Kuu Azana Front Cathedral, jijini Dar es Salaam.

Wanawake usharikani walishiriki katika kuongoza ibada ya Kwaresma iliyofanyika siku ya Jumatano tarehe 9/3/2022, ibada hiyo ilifanyika kwa kutumia

Kila mwaka wanawake wote wa kikristo duniani, huungana na kufanya maombi kwa pamoja kwa kuombea amani duniani, ushirikiano, upendo, kuombea familia

Pages