In the name of God, the Father, the Son, and the Holy Spirit. Amen.
![](http://www.azaniafront.org/sites/default/files/styles/frontnews/public/AZF%20-%20Easter2021.jpg?itok=o80Mzf5v)
Mpendwa msharika na watu wote wa Mungu, hii hapa ni ratiba ya ibada zetu katika msimu huu wa sikukuu za Pasaka za mwaka 2021.
![](http://www.azaniafront.org/sites/default/files/styles/frontnews/public/AZF2021.jpg?itok=PdKX06H8)
Mchungaji Kiongozi wa Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront, Mchungaji Charles Mzinga mnamo tarehe 1 Agosti 2020 alifanya uzinduzi wa klabu ya vijana
![](http://www.azaniafront.org/sites/default/files/styles/frontnews/public/AZF%20P4.jpg?itok=XDSbqwhd)
Kwaya ya Tarumbeta ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront ni moja ya kwaya zinazofanya vizuri katika Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront.
![](http://www.azaniafront.org/sites/default/files/styles/frontnews/public/AZF%20P3.jpg?itok=FUCclFV-)
Mpendwa msharika na watu wote wa Mungu, kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, sasa ni dhahiri kwamba unaweza kushiriki kikamilifu katika
![](http://www.azaniafront.org/sites/default/files/styles/frontnews/public/AZF%20P2.jpg?itok=mPQKE3J_)
Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral unawakaribisha watu wote katika ibada zake za kila siku za Jumapili, pamoja na ibada za katikati
Jumapili ya Tarehe 13/12/2020, Washarika walishuhudia kwaya ya vijana ikizindua album yenye Jina "Hakuna Jina Lingine" yenye nyimbo 8 katika ibada
![](http://www.azaniafront.org/sites/default/files/styles/frontnews/public/WhatsApp%20Image%202020-11-17%20at%2009.28.59.jpeg?itok=oyX3tR1l)
Kwaya ya wanawake ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront hivi karibuni ilitembelea kituo cha watoto yatima cha Kiwalani kilichopo jijini Dar es sala
![](http://www.azaniafront.org/sites/default/files/styles/frontnews/public/WhatsApp%20Image%202020-11-17%20at%2009.12.03%20%281%29.jpeg?itok=qFjAQvLk)
Waalimu wa shule ya Jumapili ya Usharika wa Kanisa Kuu Azaniafront, hivi karibuni walihudhuria semina iliyoandaliwa na usharika na
KKKT Azaniafront yaadhimisha ‘Sikukuu ya Mavuno’ kwa mwaka 2020