On Sunday 9th October 2016, the Azaniafront congregation was graced with the presence of 2 visitors from Unna Church District in Germany.

Vijana ambao walikuwa wanafunzi wa Sunday school, siku ya Jumamosi tarehe 21.11.2015 walibarikiwa rasmi kuanza kuhudhuria ibada ya watu wazima baada ya kufuzu mafunzo ya kipaimara.
Kikundi cha Matarumbeta wakiongoza washarika katika maandamano ya kuelekea kwenye eneo la ibada ya mavuno.
Ugeni huo ulikuwa na ujumbe wa watu 9, vijana 7 na wachungaji 2. Vijana walikuwa mchanganyiko wa kike na wa kiume. Pia katika wageni hao walikuwepo wafanya kazi , wanafunzi. Unna ni usharika ambao ni rafiki wa usharika wa Azania Front kwa miaka mingi sasa.
Usharika wa Azania Front ulipokea ugeni kutoka usharika wa Messiah jimbo la Marquete, Michigan nchini Marekani, waliofika tarehe 12/6/2015 na kuondoka 22/6/2015.
Viongozi wa Wakinama (mbele) wanakwaya na wahudumu wa ibada wakielekea kanisani
Chaplain Mzinga alikutana na viongozi wa vikundi usharikani tarehe 15/01/2015, kujadili juu ya kuboresha huduma ya kueneza Injili. Waliohudhuria ni Viongozi wa Agape Evangelical Singers, Kwaya kuu, Kwaya ya Upendo, Tarumbeta,Kwaya ya kina mama, Umoja wa wanawake, Kwaya ya vijana, Fellowship na mwenyekiti wa Kamati ya Uinjilisti.
Tukio hilo lilifanyika kanisani Azania katika ibada zote 2 za kiswahili likiongozwa na Msaidizi wa Askofu Dean George Fupe akisidiana na Chaplain Charles Mzinga.
Askofu Dr. Alex Malasusa akitoa neno la ufunguzi. Aliyeketi kushoto kwake ni Mch. Helerd Nkini kutoka makao makuu ya dayosisi ambaye baadae alitoa mada ya utaratibu wa dayosis na mabaraza ya wazee. .
On 29 June, 2014 Azania Front Cathedral had a privilege of having at her midst Rev Hartmut Schmidtpott from Schmalkalden Germany. He participated in serving the Holy Communion to the congregation.

Pages