Event Date: 
25-10-2025

Matukio mbalimbali katika picha kutoka katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Umoja wa Wanaume wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front uliofanyika siku ya Juampili, 19 Oktoba 2025 usharikani hapa. Mkutano huo uliongozwa na Mwenyekiti wa Umoja huo Kapteni John Joseph Mkony, na ulifunguliwa na Mchungaji Joseph Mlaki. Mkutano huu ni jukwaa muhimu linalowaleta pamoja wanaume wote wa usharika ili waweze kujadili mambo mbalimbali yanayohusu umoja huo na usharika wa ujumla.

Angalia picha hapa chini.

Picha: AZF Media Team.