Luke 9:51-56
10-03-2020
The message of the kingdom concerns deliverance, not judgment. Ujumbe mkuu wa ufalme wa mbinguni unahusu kufunguliwa na siyo hukumu.../Pastor J. Mlaki
2 SAMUEL 17:1-14
09-03-2020
God will not forsake you. Mungu hatakusahau. ../Pastor J.Mlaki
John 5:8 (Yohana 5:8)
06-03-2020
Our last words should always be, “Nevertheless not my will, but yours be done” (Luke 22:42) Tunapokuwa ni wahitaji, tumwombe atusaidie na kutujibu sawa na mapenzi yake (Luka 22:42) ../Pastor J Mlaki.
Genesis 22:1-14 (Mwanzo 22:1-44)
04-03-2020
Our life and all we have belongs to God. Maisha yetu na vyote tulivyo navyo ni mali ya Mungu...../Pastor J. Mlaki
Ecclesiastes 7:4-11 (Mhubiri 7:4-11)
03-03-2020
The book of Ecclesiastes is full of wisdom to live by. Kitabu cha Mhubiri kimejaa hekima ya jinsi ya kuishi....../Pastor J.Mlaki
Proverbs 21:1-7  (Methali 21:1-7)
28-02-2020
We have to do what is right and fair, Imetupasa kutenda yaliyo mema na ya haki..../Pastor J. Mlaki
Ash Wednesday - Matthew 6:16-18 - Jumatano ya majivu
26-02-2020
Focus on God when fasting. Mtazame Mungu wakati wa mfungo. .../Pastor J. Mlaki
Proverbs 21:1-7 (Mithali 21:1-7)
25-02-2020
Remember that the Lord judges our motives. Kukumbuka kuwa Bwana huipima mioyo yetu..../Pastor J Mlaki
Matthew 10:1-15
20-02-2020
Embrace the message of Christ and escape the wrath to come. Tuupokee ujumbe wa neno lake Kristo ili tuiepuke ile hukumu ijayo..../Pastor J Mlaki
John 8:31-36 (Yohana 8:31-36)
19-02-2020
Without Jesus, we live as slaves. Pasipo Yesu, tunaishi kama watumwa..../Pastor J Mlaki

Pages