2 Wakorintho 1:3-7 (Corinthians)
15-09-2021
Mioyo yetu   imuelekee yeye Bwana, ili atufariji katika hali zote. May our hearts go to the Lord, that He may comfort us in all circumstances. /Heri Buberwa
Marko 1:35-39
14-09-2021
Mungu hujishulisha na mambo yetu. /Heri Buberwa
2 Wafalme 4:30-37
13-09-2021
Tusiwe na wasiwasi juu ya mahitaji yetu  maana Mungu hutupa. Let's not worry about our needs because God provides for us. / Heri Buberwa.
Kumbukumbu la Torati 12:5-7 (Deuteronomy)
11-09-2021
Tumwabudu Yeye peke yake tukiendelea kuwa mawakili wema kwake. Let's worship Him alone and continue to be good advocates for Him. /Heri Buberwa
Nehemia 12:43-46 (Nehemiah)
10-09-2021
Mtolee Bwana mali alizokupa kwa ajili ya kazi yake. Give to the Lord the possession's he has given you; for his work.
Matendo ya Mitume 9:36-43 (Acts)
09-09-2021
Tujawe matendo mema kama Dorkasi tukimtolea Mungu kwa ukarimu. Let's be full of good deeds as Dorcas, while giving generously to God. /Heri Buberwa.
Luka 21:1-4 (Luke)
08-09-2021
Unamtolea Mungu sadaka ipasavyo au unatoa mabaki? Do you give to offerings to God properly or do you give remnants? /Heri Buberwa.
2 Wathesalonike 3:6-12 (Thessalonians)
07-09-2021
Usipofanya kazi, na usile. If you do not work, and do not eat. /Heri Buberwa.
2 Mambo ya Nyakati 30:21-22 (Chronicles)
06-09-2021
Tumtolee aliyetupa kwa ajili ya utukufu wake.  Give to Him who gave us, for His glory. /Heri Buberwa
Mithali 25:21
04-09-2021
Mpende adui yako.

Pages