
TAREHE 6/3/2015

Wakina mama kutoka Sharika mbalimbali wakiingia kwa maandamano katika ibada


Baadhi ya kinamama washiriki kuktoka Usharika wa Azania Front.

Kwaya ya kinamama wa kanisa la Angelikana wakiimba

Mchungaji Grace Masalakulangwa akihubiri

Mchungaji Prudence Chuwa akifuatilia ibada

Mchungaji Prudence Chuwa (kulia) akiwa na wachungaji wengine wakitambulishwa

Mchungaji wa Azania Front mama Prudence Chuwa akiwa na wachungaji wanawake wa makanisa mbalimbali

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa Kanisa kuu la Azania Front mama Apaisaria Kilewo (Kulia) akifuatilia ibadaÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂ

Parish Worker wa kanisa kuu la Azania Front mama Fedilia Urasa (mbele, kati) akiwa na wakinamama wengine wakiimba wakati wa maombi

Viongozi wa madhehebu mbalimbali wakiwa wakifungua ibada kwa Sala

Viongozi wa Makanisa mbali mbali wakiwa pamoja jukwa kuu

Viongozi wakiwa pamoja na wahubiri wakiwa katika meza kuu

Wakina mama wa Azania Front wakionyesha tabasamu baada ya kufurahishwa na jambo

Wakina mama wakifuatilia maombi

Wakinamama kutoka makanisa mbalimbali walioshiriki katika ibada ya maombi

Wanawake wa Azania Front wakiimba wimbo wakati wa maombi

Washiriki kutoka Azania Front wakifuatilia ibada
