

Kikundi cha Matarumbeta wakiongoza washarika katika maandamano ya kuelekea kwenye eneo la ibada ya mavuno.
Trumpet team leading the congregation processation to the worship area

Baadhi ya wanakwaya wa Umoja wakiwa nyuma ya matarumbeta
Some members of the Unity Choir right behind the trumpets

Chaplain Mzinga akiongoza kuelekea eneo la ibada
Chaplain Mzinga leading the processation

Washarika wakielekea kutoa mavuno, mbele kulia ni Mzee Jengo akisimamia utaratibu.
Paritioners going to give their offerings

Vijana wadogo nao walishiliki.
Young members actively participated

Washarika walikuwepo kwa wingi
Paritioners in good numbers going to give their offerings

Na wenye umri mkubwa pia hawakusita kwenda kumtolea Bwana
Elderly members were not left behind


Kama inavyoonekana, Madhabahu ilipambwa vizuri.
The Alter area was brightly decorated.

Baadhi ya Washarika wakijaza fomu za ahadi ya mavuno.
