Event Date: 
19-10-2023

Kamati ya Afya na Ustawi wa jamii inapenda kuwatangazia kuwa mafundisho ya afya kwa Wanafunzi wa Kipaimara kwa mwaka wa Kwanza na wa Pili yatafanyika tarehe 18/11/2023 kuanzia saa 2.30 asubuhi mpaka sa 8.00 mchana hapa Usharikani Azania Front Cathedral.  Wale waliopata Kipaimara kuanzia miaka 3 iliyopita wanakaribishwa kwenye mafundisho haya. Sambamba na Elimu ya Afya kwa Wanafunzi hao Wazazi na Walezi pia watakuwa na muda wa kujadili juu ya changamoto Malezi ya Watoto. Wazazi na Walezi mnaombwa kujiandikisha na kuandikisha Watoto watakaohudhuria kwa Parish Worker ili kufanya maandalizi haya.

Karibuni!