Event Date: 
26-10-2025

Wapendwa Washarika, tunapenda kuwakaribisha katika ibada maalum ya Sikukuu ya Mavuno kwa mwaka 2025 itakayofanyika katika viwanja vya Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front siku ya Jumapili tarehe 26 Oktoba 2025, kuanzia saa 2 kamili asubuhi. Siku hiyo ibada itakuwa moja tu (SWA).

Karibuni sana na Mungu awabariki!

------ MWISHO -------