Date: 
09-01-2020
Reading: 
2 Samuel 22:29

THURSDAY 9TH JANUARY 2020   MORNING                                      

2 Samuel 22:29 New International Version (NIV)

 

29 You, Lord, are my lamp;
    the Lord turns my darkness into light.

 

David praised God who had provided him with a great victory and the ability to overcome.

For the greatest issue you are facing in your life right now, what do you put your trust in?           


ALHAMISI TAREHE 9 JANUARI 2020  ASUBUHI                                      

2 SAMWELI 22:29

29 Kwa kuwa wewe u taa yangu, Ee Bwana; Na Bwana ataniangazia giza langu.

Daudi alimsifu Mungu aliyemwezesha na kumshindia katika magumu mengi.

Katika maisha yapo mambo magumu unayokutana nayo; je, umeweka wapi tumaini lako?