Date: 
16-03-2020
Reading: 
Ecclectias 11: 6

MONDAY 16TH MARCH 2020  MORNING   ECCLESIASTES  11:6
Ecclesiastes 11:6 New International Version (NIV)


6. Sow your seed in the morning,
    and at evening let your hands not be idle,
for you do not know which will succeed,
    whether this or that,
    or whether both will do equally well.


God calls us to work hard and never give up, because it is through perseverance that we will reap the rewards. Every day is an opportunity to make a difference in our lives and the lives of others.


JUMATATU TAREHE 16 MACHI 2020   ASUBUHI                    
MHUBIRI 11:6
6 Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiuzuie mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,kama ni hii au hii,au kama zote zitafaa sawasawa.

Mungu anataka Wakristo tufanye kazi kwa bidii na tusikate tamaa, kwa sababu kwa kuvumilia tutapokea malipo yetu. Kila siku ipo fursa ya kuleta tofauti katika maisha yetu na ya wengine.