Date: 
18-12-2019
Reading: 
John 1:32-34 (Yohana 1:32-34)

WEDNESDAY 18TH DECEMBER 2019  MORNING
John 1:32-34 New International Version (NIV)
32 Then John gave this testimony: “I saw the Spirit come down from heaven as a dove and remain on him. 33 And I myself did not know him, but the one who sent me to baptize with water told me, ‘The man on whom you see the Spirit come down and remain is the one who will baptize with the Holy Spirit.’ 34 I have seen and I testify that this is God’s Chosen One.”[f]

Jesus was filled with and empowered by the Holy Spirit. As the eternal Son of God, Jesus is the one who baptizes with the Holy Spirit. God is Spirit; and that is His nature. Therefore, we are baptized by Jesus’ own Name. Knowing who Jesus is gives us confidence and keeps us strong in our faith.


JUMATANO TAREHE 18 DESEMBA 2019  ASUBUHI    YOHANA 1:32-34

32 Tena Yohana akashuhudia akisema, Nimemwona Roho akishuka kama hua kutoka mbinguni; naye akakaa juu yake.
33 Wala mimi sikumjua; lakini yeye aliyenipeleka kubatiza kwa maji, huyo aliniambia, Yeye ambaye utamwona Roho akishuka na kukaa juu yake, huyo ndiye abatizaye kwa Roho Mtakatifu. 34 Nami nimeona, tena nimeshuhudia ya kuwa huyu ni Mwana wa Mungu.

Yesu alijazwa na nguvu za Roho Mtakatifu. Akiwa mwana wa Mungu tangu milele, Yesu ndiye abatizaye kwa Roho Mtakatifu. Mungu ni Roho; na hiyo ndiyo asili yake. Hivyo, tunabatizwa kwa Jina la Yesu mwenyewe. Tukitambua Yesu ni nani inatupa ujasiri na hutuimarisha katika imani yetu.