Date: 
10-01-2020
Reading: 
Mathew 13:9

FRIDAY 10TH JANUARY 2020   MORNING                                                  

Matthew 13:9 New International Version (NIV)

 

Whoever has ears, let them hear.”

Let us hear and understand God’s word. Our hearts should embrace good news and fight off the devil. By doing so, we will endure difficulties and persecutions.


IJUMAA TAREHE 10 JANUARI 2020  ASUBUHI                

MATHAYO 13:9

Mwenye masikio na asikie.

Tunapaswa kulisikia neno la Mungu na kulielewa. Mioyo yetu ipokee habari njema na kupigana na uovu. Kwa kufanya hivyo, tutavumilia na kuyashinda magumu na mateso.