Date: 
22-06-2019
Reading: 
Proverbs 18:1 (Methali 18:1)

SATURDAY 22ND JUNE 2019 MORNING                                  

Proverbs 18:1 New International Version (NIV)

1 An unfriendly person pursues selfish ends
    and against all sound judgment starts quarrels.

The book of Proverbs contains much wise advice about how we should live. It provides positive advice to follow and warnings as to what to avoid. In this verse we are warned not to be unfriendly and selfish.  We meet many people in our lives and not all of them are easy to get along with. But let us do our best to bring peace and harmony wherever we are. 


JUMAMOSI TAREHE 22 JUNI 2019 ASUBUHI                         

MITHALI 18:1

1 Ajitengaye na wenzake hutafuta matakwa yake mwenyewe; Hushindana na kila shauri jema. 

Kitabu cha Mithali ni kitabu cha hekima. Kina ushauri wa tabia njema za kufuata na maonyo kuhusu tabia mbaya za kuacha. Katika mstari huu tunapata maonyo. Tusiwe na ubinafsi na kugombana na watu.  Tunakutana na watu aina mbalimabli. Wengine kweli ni wangumu kupatana nao. Lakini tujitahidi kuwa wapatanishi.