Kanisa la Azania front kuonekana na sura mpya siku ya sikukuu baada ya kupambwa na kuwekwa mapambo mbalimbali ambayo yamefanya kuonesha muonekano mpya ndani na nje ya kanisa.

Imekuwa ni utaratibu mzuri ambao kutokea mwaka jana 2014 upambaji wa kanisa kumelifanya kanisa kuonekana na sura tofauti na siku zingine za kawaida wakati wa sikukuu ya Christmas.

Umoja wa wanawake wa Azania Front ukishirikiana na Uongozi wa usharika Chaplin na balaza la wazee, wamebuni mbinu mpya ya upambaji wa kanisa kwa kuwashirikisha wanawake wote wa usharika kwa w kupamba kanisa wakati wa Christmas, ubunifu huo unafanya kanisa kuonekana nadhifu zaidi na maridadi wakati wa kumsubiri Mesiya.

Muonekano huo ambao umeonyesha sura mpya katika kanisa la Azania Front umesimamiwa kiufasaha na uongozi wa wanawake wakishirikiana na Chaplin na Balaza la wazee wa kanisa kwa mwaka huu wa 2015.

2015xmas upambaji01

Eneo ambalo la gorofani ambapo ndipo bendi ya matarumbeta na kwaya ya agape inakaa

pakionekana kung'aa

2015xmas upambaji02

Eneo la madhabauni pakionekana nadhifu

2015xmas upambaji03

Kanisa likiwa tayari limepambwa

2015xmas upambaji04

Kibaraza cha jengo la kanisa kikionekana kung'aa baada ya kupambwa

2015xmas upambaji05

Mbele ya kanisa pakioneka na na sura mpya baada ya kupambwa

2015xmas upambaji06

2015xmas upambaji07

Ofisi ya kanisa la Azania Front ikionekana limepambwa 

2015xmas upambaji08

Parish worker akihakikisha kanisa linapendeza na mapambo 

2015xmas upambaji09

Parish worker akipamba kanisa