Kanisa la Azania front kuonekana na sura mpya siku ya sikukuu baada ya kupambwa na kuwekwa mapambo mbalimbali ambayo yamefanya kuonesha muonekano mpya ndani na nje ya kanisa. Imekuwa ni utaratibu mzuri ambao kutokea mwaka jana 2014 upambaji wa kanisa kumelifanya kanisa kuonekana na sura tofauti na siku zingine za kawaida wakati wa sikukuu ya Christmas. Umoja wa wanawake wa Azania Front ukishirikiana na Uongozi wa usharika Chaplin na balaza la wazee, wamebuni mbinu mpya ya upambaji wa kanisa kwa kuwashirikisha wanawake wote wa usharika kwa w kupamba kanisa wakati wa Christmas, ubunifu huo unafanya kanisa kuonekana nadhifu zaidi na maridadi wakati wa kumsubiri Mesiya. Muonekano huo ambao umeonyesha sura mpya katika kanisa la Azania Front umesimamiwa kiufasaha na uongozi wa wanawake wakishirikiana na Chaplin na Balaza la wazee wa kanisa kwa mwaka huu wa 2015. |
Eneo ambalo la gorofani ambapo ndipo bendi ya matarumbeta na kwaya ya agape inakaa
pakionekana kung'aa
Eneo la madhabauni pakionekana nadhifu
Kanisa likiwa tayari limepambwa
Kibaraza cha jengo la kanisa kikionekana kung'aa baada ya kupambwa
Mbele ya kanisa pakioneka na na sura mpya baada ya kupambwa
Ofisi ya kanisa la Azania Front ikionekana limepambwaÂÂÂ
Parish worker akihakikisha kanisa linapendeza na mapamboÂÂÂ
Parish worker akipamba kanisa