Event Date: 
23-07-2019

TAREHE 17/07/2019 - 29/07/2017

Vijana 10 toka Usharika rafiki wa Frodenberg wamefanya ziara ya siku 17 katika usharika wetu. Uhusiano wa kirafiki kati ya Azaniafront na usharika wa Frondenberg umekuwepo kwa zaidi ya miaka 20, kwa makundi ya vijana kutembeleana kwa zamu. Wageni hao wamepokelewa na wenyeji wao ambao ni washarika wa kawaida, na wengine ambao walishiriki kwenye programu za nyuma. Wakiwa hapa wanashiriki katika ratiba za ibada, kutembelea baadhi ya mitaa inayotunzwa na Azaniafront, sehemu za historia na utamaduni wa Tanzania, n.k. 

Habari zaidi na picha za ziara hii hapa

Picha zilizochukuliwa na Mmoja wa wageni (Bastian)