Event Date: 
24-10-2016

SIKUU YA MAVUNO 2016

Jumapili ya tarehe 23/10/2016, washarika wa Azaniafront walijumuika kuadhimisha ibada ya sikukuu ya mavuno. Ibada hiyo iliongozwa na Msaidizi wa Askofu, Chidiel Lwiza. Kwaya kadhaa, ikiwepo AICT Chang'ombe, Vijana Mabibo, Azania matarumbeta, Azania Umoja na wengine walimsifu Bwana kwa nyimbo zao nzuri. Ibada hiyo pia iliambatana na mnada wa mazao ya mashambani, mifugo, na bidhaa za biashara.

Angalia picha zingine hapa