Wageni toka Slovakia

Wageni  kutoka Slovakia wakiwa katika picha ya pamoja na wachungaji baada ya ibada ya 2 ya Kiswahili tarehe 13/01/2019. Wageni hawa walikuja kwa ziara ya Dayosis ya Mashariki na Pwani, na ni wafanya kazi wa idara ya Polisi nchini kwao.