Njooni tumwimbie Bwana./ Heri Buberwa.
Hii hapa ni Ratiba ya Ibada za Pasaka 2024 zitakazofanyika katika Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front.
Jarida la Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Toleo la 14 sasa lipo tayari. Pata nakala yako kupitia link hapa chini.
Siku ya Jumapili tarehe 21 Januari 2024, Washarika wa Kanisa Kuu Azania Front waliungana na na jumuiya ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...