Date: 
03-07-2021
Reading: 
Exdous 23:6-9

SATURDAY 3RD JULY 2021 MORNING        Exodus 23:6-9 New International Version (NIV)

6 “Do not deny justice to your poor people in their lawsuits. 7 Have nothing to do with a false charge and do not put an innocent or honest person to death, for I will not acquit the guilty.

8 “Do not accept a bribe, for a bribe blinds those who see and twists the words of the innocent.

9 “Do not oppress a foreigner; you yourselves know how it feels to be foreigners, because you were foreigners in Egypt.

Acting justly involves allowing the Spirit of the living God to hold over our attitudes and desires. We should seek instead to honor what is true and right. We should avoid all temptation to vengeance or to seeking to harm another by treating their family or their property cruelly or wrongly.


JUMAMOSI TAREHE 3 JULAI 2021 ASUBUHI KUTOKA 23:6-9

6 Usipotoe hukumu ya mtu maskini katika neno lake.

7 Jitenge mbali na neno uongo; wala wasio hatia na wenye haki usiwaue; kwa kuwa mimi sitamhesabia haki yeye aliye mwovu.

8 Nawe usipokee rushwa; kwani hiyo rushwa huwapofusha macho hao waonao, na kuyapotoa maneno ya wenye haki.

9 Usimwonee mgeni; maana, ninyi mwajua moyo wa mgeni ulivyo, kwa kuwa ninyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri.

Kutenda haki kunahusisha kumruhusu Roho wa Mungu aliye hai kuziongoza tabia zetu na matamanio yote. Tunapaswa kufuata lililo kweli na jema. Tuepuke majaribu yote ya kulipiza kisasi au kutafuta kuwadhuru wengine kwa kufanya ukatili kwa familia au mali zao kwa ukatili au kwa ubaya.