Date: 
02-07-2021
Reading: 
Exodus 23:1-5 (Kutoka)

FRIDAY 2ND JULY 2021 MORNING              Exodus 23:1-5 New International Version (NIV)

23 “Do not spread false reports. Do not help a guilty person by being a malicious witness.

2 “Do not follow the crowd in doing wrong. When you give testimony in a lawsuit, do not pervert justice by siding with the crowd, 3 and do not show favoritism to a poor person in a lawsuit.

4 “If you come across your enemy’s ox or donkey wandering off, be sure to return it. 5 If you see the donkey of someone who hates you fallen down under its load, do not leave it there; be sure you help them with it.

God is the God of justice; being just is His very nature. And so let us always attempt to imitate our Lord Jesus Christ by acting like Him. Let us act responsibly in our dealing with others as we would like others act upon us. Being in Christ means that we will not be judged for not doing these things because He gives us strength, courage and wisdom to do God’s will.. 


IJUMAA TAREHE 2 JULAI 2021 ASUBUHI KUTOKA 23:1-5

1 Usivumishe habari za uongo; usitie mkono wako pamoja na mwovu, kuwa shahidi wa udhalimu.

2 Usiandamane na mkutano kutenda uovu; wala usitie ushahidi wako katika neno lo lote kwa kugeukia kando na kuandamana na mkutano ili kupotoa hukumu;

3 wala usimpendelee mtu mnyonge katika neno lake.

4 Ukimwona ng'ombe wa adui wako, au punda wake, amepotea, sharti umrudishie mwenyewe tena.

5 Ukimwona punda wake huyo akuchukiaye hali ameanguka chini ya mzigo wake, nawe ungejizuia usimsaidie, lazima umsaidie.

Mungu wetu ni Mungu wa haki; na kutenda haki ndiyo asili yake. Hivyo, tujitahidi kila wakati kuwa kama Bwana wetu Yesu Kristo kwa kutenda kama atendavyo yeye. Tuwatendee wengine kama ambavyo tungependa kutendewa. Kuwa ndani ya Kristo ina maana kwamba hatutahukumiwa kwa kushindwa kutenda haki kwa sababu yeye hutupa nguvu, ujasiri na hekima ya kutenda mapenzi ya Mungu.