Date: 
18-07-2019
Reading: 
Jude 1:19-25 (Yuda 1:19-25)

THURSDAY 18TH JULY 2019 MORNING                               

Jude 1:19-25 New International Version (NIV)

19 These are the people who divide you, who follow mere natural instincts and do not have the Spirit.

20 But you, dear friends, by building yourselves up in your most holy faith and praying in the Holy Spirit, 21 keep yourselves in God’s love as you wait for the mercy of our Lord Jesus Christ to bring you to eternal life.

22 Be merciful to those who doubt; 23 save others by snatching them from the fire; to others show mercy, mixed with fear—hating even the clothing stained by corrupted flesh.[a]

Doxology

24 To him who is able to keep you from stumbling and to present you before his glorious presence without fault and with great joy— 25 to the only God our Savior be glory, majesty, power and authority, through Jesus Christ our Lord, before all ages, now and forevermore! Amen.

Footnotes:

  1. Jude 1:23 The Greek manuscripts of these verses vary at several points.

At the end of his short letter Jude gives advice and encouragement to Christians. Be encouraged that God is able to keep you safe to the end. By our own efforts we will fail but when we fully trust in Jesus Christ He will help us to overcome sin.


ALHAMISI TAREHE 18 JULAI 2019 ASUBUHI                                      

YUDA 1:19-25

19 Watu hao ndio waletao matengano, watu wa dunia hii tu, wasio na Roho. 
20 Bali ninyi, wapenzi, mkijijenga juu ya imani yenu iliyo takatifu sana, na kuomba katika Roho Mtakatifu, 
21 jilindeni katika upendo wa Mungu, huku mkingojea rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo, hata mpate uzima wa milele. 
22 Wahurumieni wengine walio na shaka, 
23 na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili. 
24 Yeye awezaye kuwalinda ninyi msijikwae, na kuwasimamisha mbele ya utukufu wake bila mawaa katika furaha kuu; 
25 Yeye aliye Mungu pekee, Mwokozi wetu kwa Yesu Kristo Bwana wetu; utukufu una yeye, na ukuu, na uwezo, na nguvu, tangu milele, na sasa, na hata milele. Amina.

Mwishoni mwa waraka huu mfupi wa Yuda, anatoa maneno ya ushauri na kuwatia moyo Wakristo. Tumtegemee Yesu Kristo naye atatupa ushindi dhidhi ya dambi na kutufikisha salama mbinguni.