Event Date: 
17-11-2021

Mlengwa (Msharika Mgeni) anapaswa kupakua fomu hii na kuijaza kikamilifu ikiwa ni pamoja na kuambatanisha picha yake ya passport size kisha ataipeleka fomu iliyojazwa kwa Katibu wa Chaplain akiwa na ushahidi wa cheti cha safari au barua ya utambulisho kutoka sehemu anapotokea.

Kwa melezo zaidi tembelea ofisi ya Katibu wa Chaplain.

Karibu Azania Front Cathedral.