Date: 
28-04-2017
Reading: 
Luke 24:36-43 New International Version (NIV)

FRIDAY 28TH APRIL 2017 MORNING                                  

Luke 24:36-43 New International Version (NIV)

Jesus Appears to the Disciples

36 While they were still talking about this, Jesus himself stood among them and said to them, “Peace be with you.”

37 They were startled and frightened, thinking they saw a ghost. 38 He said to them, “Why are you troubled, and why do doubts rise in your minds? 39 Look at my hands and my feet. It is I myself! Touch me and see; a ghost does not have flesh and bones, as you see I have.”

40 When he had said this, he showed them his hands and feet. 41 And while they still did not believe it because of joy and amazement, he asked them, “Do you have anything here to eat?” 42 They gave him a piece of broiled fish, 43 and he took it and ate it in their presence.

Luke records this incident which happened on the evening Easter Sunday.  Jesus appeared to His disciples in Jerusalem. Jesus was on earth for 40 days between the resurrection and the ascension. During this time He appeared to His Apostles and other disciples on several different occasions and in different places. Each gospel records some of these incidents. Jesus wanted His disciples to understand that He truly was risen from the dead. He also gave them important teachings about their future work.

Do you understand this teaching?

    

IJUMAA TAREHE 28 APRILI 2017 ASUBUHI                             

LUKA 24:36-43

36 Na walipokuwa katika kusema habari hiyo, yeye mwenyewe alisimama katikati yao, akawaambia, Amani iwe kwenu.
 37 Wakashituka, wakaogopa sana, wakidhani ya kwamba wanaona roho. 
38 Akawaambia, Mbona mnafadhaika? Na kwa nini mnaona shaka mioyoni mwenu? 
39 Tazameni mikono yangu na miguu yangu, ya kuwa ni mimi mwenyewe. Nishikenishikeni, mwone; kwa kuwa roho haina mwili na mifupa kama mnavyoniona mimi kuwa nayo. 
40 Na baada ya kusema hayo aliwaonyesha mikono yake na miguu yake. 
41 Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia, Mna chakula cho chote hapa? 
42 Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa. 
43 Akakitwaa, akala mbele yao. 
 

Yesu alijitokeza kwa Wanafunzi wake kule Yerusalemu siku ya ufufuo jioni. Ilikuwa baada ya wanafunzi wawili kurudi kutoka Emau. Yesu alikuwepo duniani siku arobaini baada ya Ufufuo wake kabla ya kupaa kwake. Katika kipindi hiki alijitokeza mara kwa mara kwa Wanfunzi wake katika mazingira tofuati. Yesu alitaka wanafunzi kuwa na uhakika kwamba yu hai na alifufuka kweli. Pia aliwapa mafundisho muhimu kuhusu kazi yao ya kuhubiri Injili na kuanzisha makanisa.

Injili zote zinatueleza kuhusu baadhi ya matukio haya. Je! Umeelewa?