Date: 
07-07-2021
Reading: 
Marko 16:17

JUMATANO TAREHE 7 JULAI 2021, ASUBUHI

MARKO 16:17

17 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;

Bwana Yesu aliwaambia wanafuzi maneno haya baada ya kufufuka na kabla ya kupaa kwenda Mbinguni. Ulikuwa wakati mgumu kwa wanafunzi na wafuasi wake kwani bado walikuwapo watu ambao hawakuamini. Akawapa ahadi ya mstari huo hapo juu kama ishara ya kuwatambua waumini wake wa kweli.

Tukimwamini Bwana Yesu bila kuwa na shaka, tunapewa nguvu ya kufanya kazi alizokuwa akizifanya wakati wa uwepo wake kama mwanadamu hapa Duniani. Mungu atusaidie kuwa na Imani isiyotetereka.


WEDNESDAY 7TH JULY 2021, MORNING

MARK 16:17

17 And these signs will accompany those who believe: In my name they will drive out demons; they will speak in new tongues;

Read full chapter

Mark 16:17 in all English translations

The Lord Jesus spoke these words to His disciples after His resurrection and before His ascension into Heaven. It was a difficult time for the disciples and his followers as there were still people who did not believe. He gave the promise in the above verse as a sign of recognition to his true believers.

If we believe in the Lord Jesus without a doubt, we are empowered to do the works He did during His presence as a human being on Earth. May God help us to have unwavering faith.