Event Date: 
26-09-2017

HARAMBEE YA KITUO CHA KIROHO CHA KIHARAKA 2017

FUND RAISING FOR KIHARAKA SPIRITUAL CENTER

Jumapili tarehe 24/09/2017 washarika wa KKKT Azaniafront walikuwa na harambee maalum kuchangia mradi wa kituo cha kiroho cha Kiharaka. Kituo hicho kinajengwa eneo la kiharaka wilaya ya Bagamoyo. Harambee hiyo iliongozwa na Askofu Dr Alex Malasusa akisaidiana na Dean Lwiza na Mch. Chuwa. Lengo lilikuwa kupata kiasi cha Sh. 250M kuendeleza ujenzi. Vazi rasmi lilikuwa sare ya kitenge cha Kiharaka kilichotengenezwa maalum kwa ajili ya kuchangia mradi huo. Kwaya za usharika ikiwemo Upendo, Agape, wamama, na kwaya kuu zilishiriki huduma katika harambee hiyo.

Angalia picha zote hapa

 

On Sunday 24/09/2017 the congregation of ECLT Azaniafront held a fund raising service for the Kiharaka spiritual center project, located in Kiaharaka, Bagamoyo district. The activity was lead by Bishop Dr Alex Malasusa assisted by Dean Lwiza and Pastor Chuwa. The target is to raise TSh. 250M. Formal attire was made from a dress material custom printed for the project. Many wore the special print in shirts, dresses, and some just wrapped the material over their atire. All the Church choirs were in attendance.

See all other photos here