JUMAPILI YA TAREHE 29/3/2015, KWAYA YA UPENDO ILIFANYA MAANDALIZI YA KUZINDUA ALBAM YAO MPYA KWA KUCHANGISHA WASHARIKA WA KANISA KUU AZANIAFRONT KATIKA IBADA YA SIKUKUU YA MITENDE

upendo maanadlizi ya uziduzi02

Mlezi wa Kwaya G.Lwiza akitoa maelekezo juu ya uzinduzi wa albam ya kwaya ya Upendo ambayo inategemewa kuzinduliwa mwezi wa

Mei 2015

upendo maanadlizi ya uziduzi01

Kwaya ya Upendo wakiimba ibadani

upendo maanadlizi ya uziduzi03

Mwalimu Tumaini akichangisha fedha za uzinduzi

upendo maanadlizi ya uziduzi04

Mwalimu Tumaini akiimbisha kwaya ya Upendo katika ibada ya siku ya mitende

upendo maanadlizi ya uziduzi05

Mwanakwaya Eliot akichangisha fedha za uzinduzi wa Albam

upendo maanadlizi ya uziduzi06

Mwanakwaya J.mhina akichangisha fedha za uzinduzi wa Albam

upendo maanadlizi ya uziduzi07

Mwanakwaya Linda akichangisha Fedha za uzinduzi

upendo maanadlizi ya uziduzi08

Mwenyekiti wa kwaya mstaafu mama Minja (kulia) na Mwenyekiti wa sasa A. Lyatuu (kushoto) na mwanakwaya Damarisi wakijadiliana

jambo katika kukusanya fedha za uzinduzi.

upendo maanadlizi ya uziduzi09

Mwenyekiti wa kwaya ya Upendo A.Lyatuu akichangisha fedha za uzinduzi

upendo maanadlizi ya uziduzi10

Mwimbaji mkongwe wa kwaya ya upendo mama M.Luhuwi (mwisho Kulia)akishiki katika uimbaji wa sikukuu ya ibada ya mitende

upendo maanadlizi ya uziduzi11

Nderemo na vifijo katika ibada ya siukuu ya mitende

upendo maanadlizi ya uziduzi12

Uimbaji ibadani

upendo maanadlizi ya uziduzi13

Waimbaji wakishangilia

upendo maanadlizi ya uziduzi14

Wanakwaya mama C. Itemba na Edga wakichangisha Fedha za uzinduzi wa albam

upendo maanadlizi ya uziduzi15

Wanakwaya, Naomi na Janeth wakichangisha Fedha za uzinduzi wa albam

(Picha na habari na Jane Mhina)