Uzinduzi wa Albam ya 2 ya kwaya ya Upendo iitwayo "Tembea Nuruni" uliofanyika Jumapili tarehe 3 May 2015 usharikani Azaniafront. Baadae siku hiyo kwaya ilifanya tamasha kwenye ukumbi wa makubusho ya Taifa na kuhudhuriwa na kwaya zote wa usharika, na kwaya zilizoalikwa za TM, Sayuni, Wakina Baba wa Makongo, mumbaji Angela Makongo. Pia walezi wa kwaya walishiriki na baadhi ya washarika. Mgeni rasmi alikuwa waziri wa Michezo Mh. Dk. Fenella Mkanga.

uzinduzi wa albam may201501

Angela Magoti akiimba katika uzinduzi wa Albamu ya upendo

uzinduzi wa albam may201502

Baadhi ya wanakwaya wa kwaya kuu walioshiriki uzinduzi wa Albamu ya Kwaya ya upendo

uzinduzi wa albam may201503

Baadhi ya wanakwaya wakiimba kwa furaha

uzinduzi wa albam may201504

Gospel Flams wakiimba katika uzinduzi wa albamu ya upendo

uzinduzi wa albam may201505

Kwaya kuu wakiimba katika uzindizi wa albamu ya upendo

uzinduzi wa albam may201506

Kwaya ya Agape wakiimba katika uzinduzi

uzinduzi wa albam may201507

Kwaya ya Agape wakishiriki Uzinduzi

uzinduzi wa albam may201508

Kwaya ya kinababa usharika wa makongo wakiimba katika uzinduzi

uzinduzi wa albam may201509

Kwaya ya sayuni usharika wa kinondoni wakiimba

uzinduzi wa albam may201510

Kwaya ya TM wakiimba kataika kuisindikiza kwaya ya upendo katika uzinduzi 

uzinduzi wa albam may201511

Kwaya ya upendo wakiimba pamoja na kwaya ya TM

uzinduzi wa albam may201512

Kwaya ya upendo wakiwa nje ya kanisa wakiwa na mchungaji Mzinga na Mwalimu Tumaini

uzinduzi wa albam may201513

Kwaya ya vijana wakiimba katika uzinduzi wa albamu ya upendo

uzinduzi wa albam may201514

Kwaya ya wababa wa usharika wa makongo

uzinduzi wa albam may201515

Mchungaji Charles Mzinga akizindua albam ya Upendo

uzinduzi wa albam may201516

Mchungaji mzinga akiwa na Mlezi wa kwaya Mama Anna Mkapa, Mama Erica Malasusa na baadhi ya wanakwaya na wenzi wao

uzinduzi wa albam may201517

Mchungaji Mzinga akiwa nje ya kanisa na kwaya ya upendo

uzinduzi wa albam may201518

Mgeni rasmi Mh. Dr Fenela Mkandala atoa salamu na kuzindua albamu

uzinduzi wa albam may201519

Mh. Dr mkandala akiwa na mchungaji mama Chuwa

uzinduzi wa albam may201520

Mh. Dr mkandala akiwa na mchungaji Mzinga na Mchungaji Chuwa

uzinduzi wa albam may201521

Mh.Dr mkandala na Mchungaji Mzinga wakiteta jambo

uzinduzi wa albam may201522

Mlezi wa kwaya ya Upendo mzee Buchana Gandi akisoma taarifa ya kwaya ya upendo

uzinduzi wa albam may201523

Mwenyekiti wa kwaya ya uoendo bwana Lwatuu akitoa taarifa ya kwaya ya upendo

uzinduzi wa albam may201524

Mwenyekiti wa kwaya ya upendo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi siku ya uzinduzi

Picha na habari na Jane Mhina